Fainali Za Kusaka Vipaji-AITEL RISING STARS Imeanza kutimua vumbi Jana

image

Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando akizungumza muda mfupi kabla ya kuzindua rasmi michuano hiyo

image

Naibu Waziri TAMISEMI, Kassim Majaliwa akipiga mpira kuzindua rasmi fainali za michuano hiyo

image

Mwamuzi akimpatia kadi ya njano mmoja wa wachezaji wa timu ya kombaini ya vijana ya Mwanza baada ya kumfanyia rafu mchezaji wa timu ya Morogoro, katika michuano ya kuinua vipaji vya soka kwa vijana ya Airtel Rising Stars kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post