SHOGA ATEMBEA NA MUME WA MTU MIAKA 4

image

Tofauti iliyopo kati ya Aunty Suzy na mashoga wengine

1.Ana muonekano wa kike

2.Sauti ya kike kabisa

3.Halazimishi kutembea au kuongea kike.

4.Havai nguo za kiume japo wapo wengine wanaovaa kike lakini unaweza kumtambua kuwa ni mwanaume.

image

Akikwambia yeye ni mwanaume unakataa kabisa utakubali baada ya kuwa amekwambia. Amepanga nyumba kibao na watu kumtambua kama mwanamke. Ameishi na mume wa mtu kwa miaka minne na mwanamke aliyechukuliwa bwana akijua alomchukua mumewe ni mwanamke kama yeye. Majirani zake wote hasa hapo alipokuwa akiishi na huyo bwana hawajui kama yeye ni mwanaume. Haya yote ndio yaliyonisukuma KUMWEKA kwenye page ya blog hii.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post