SALAAM ZA RAMBI RAMBI-BLOGER FUNGWA

Image0166

NAPENDA KUTOA SALAMU ZA POLE KWA WATANZANIA WOTE KUFUATIA AJALI YA MELI ILIYOPINDUKA NA KUZAMA KATIKA BAHARI YA HINDI IKIWA INAELEKEA PEMBA NA KUSABABISHA VIFO VYA ABIRIA WALIKUWEMO KATIKA MELI HIYO WAKIWA SAFARINI. MSIBA HUU NI WETU SOTE. KWA MLIO POTEZA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI POLENI SANA. WALIO UMIA NAWAOMBEA WAWEZE KUPONA HARAKA. DUA ZETU ZIKUBALIE ALLAH

“MUNGU IBARIKI AFRICA, MUNGU IBARIKI TANZANIA”

FUNGWA S.KILOZO – http://djkizo.blogspot.com

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post