JK AKAGUA CHANZO CHA MAJI–LINDI

image

Rais Jakaya Kikwete, akikagua kianzo cha maji kilichopo Kitunda, Kata ya Msinjahili,katika Manispaa ya Lindi. Jana alipokuwa katika ziara ndani ya mkoa huo.

Mkoa wa Lindi kwa sasa uko katika tabu kubwa ya kupata maji safi na salama kwani maji hayo husambazwa na wizara ya maji LUWASA ambayo kwa sasa wanatoa maji mara moja baada ya wiki mbili na ni kwa masaa ya usiku.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post