Asha Mohammed ndiye Miss kilimanjaro 2011 umri wake ni miaka 20 tu,anasoma chuo cha kampala university pia anapendelea kuogelea,kusikiliza miziki na kusafiri.
Asha ni mrembo mwenye mvuto wa hali ya juu yaani yuko hot & sexy,matarajio yake ni kuwa an International model,anapenda ndizi nyama na kupiga picha za mvuto kama model photogenic.
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...