Hatimae Ameingia Kundini(Red Devil)

image
Klabu ya ligi kuu ya Uingereza Manchester United leo wamethibitisha kumsajili winga Ahley Young kutoka Aston Villa kwa mkataba wa miaka mitano kwa kitita cha pauni za Uingereza milioni £17m., baada ya kufaulu vipimo vya afya jana jioni. Young - ambaye hivi majuzi aliifungia England wakati walipotoka sare ya magoli 2-2 na Switzerland -amechezea timu yake ya taifa mara 15.



Young anakuwa mchezaji wapili kuthibitishwa kusajiliwa na Man United bada ya Phil Jones wiki iliyopita.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post