Unknown Unknown Author
Title: CHEKI PICHA ZA NYUMA YA PAZIA: MUVI YA MAPENZI YA MUNGU YA LULU NA MAMA KANUMBA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Lulu na Linah Muigizaji maarufu Swahiliwood Elizabeth Michael(Lulu) na mama Kanumba(Flora Mtegoa) kwa mara ya kwanza wanakuja na filamu ina...

clip_image001Lulu na Linah

Muigizaji maarufu Swahiliwood Elizabeth Michael(Lulu) na mama Kanumba(Flora Mtegoa) kwa mara ya kwanza wanakuja na filamu inayoitwa Mapenzi ya Mungu. Katika filamu hiyo waigizaji wengine ni Linah Sanga ambaye ni mwanamuziki maarufu wa Bongofleva na Sudi Ali.clip_image001[5]Mama Kanumba, Sudi Ali na Lulu wakiwa locationclip_image001[7]Linahclip_image001[9]

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top