Msanii wa bongo fleva anayesimamiwa na Wema Sepetu kupitia Endless Fame 'Mirror' Hii single yake mpya aliyota hivi karibuni na video imeshafanyiwa shooting. Kabla ya huu wimbo, Mirror alishirikishwa na Marehemu Rapper Ngwear kwenye maskini wenzangu na alikuwa na jiont yake iliyoitwa One and Only.
Tags
MUSIC NEWS