CHEKI PICHA ZA NYUMA YA PAZIA: MUVI YA MAPENZI YA MUNGU YA LULU NA MAMA KANUMBA

clip_image001Lulu na Linah

Muigizaji maarufu Swahiliwood Elizabeth Michael(Lulu) na mama Kanumba(Flora Mtegoa) kwa mara ya kwanza wanakuja na filamu inayoitwa Mapenzi ya Mungu. Katika filamu hiyo waigizaji wengine ni Linah Sanga ambaye ni mwanamuziki maarufu wa Bongofleva na Sudi Ali.clip_image001[5]Mama Kanumba, Sudi Ali na Lulu wakiwa locationclip_image001[7]Linahclip_image001[9]

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post