Unknown Unknown Author
Title: SIMULIZI: “PLAY BOY” SEHEMU YA NANE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Simulizi: Play Boy (Jeff wakujidai) Sehemu: 8 Mtunzi: Andrew Carlos Simu: 0713 133 633 Ilipoishia jana… Nilijikuta naendelea ku sex tena hu...
clip_image002Simulizi: Play Boy (Jeff wakujidai)
Sehemu: 8
Mtunzi: Andrew Carlos
Simu: 0713 133 633

Ilipoishia jana…
Nilijikuta naendelea ku sex tena huku nisijijue idadi ya mabao niliompiga michelle sura mbaya..,tukiwa bado tunaendelea na sex mara nikamshuhudia jacky akisimama kama anataka kuja tulipo mara akadondoka hapo hapo alipo nakuanza kutapa tapa na kukamaa mwili wote mithili ya mtu anapopiwa na shoti ya umeme, bila ya kutoa neno lolote akaganda..,
"jeff vipi..? Unashangaa nini..? Tuendelee tena pliz...!!"
Nilijikuta sichoki hivyo tukaendelea tena ku sex huku jacky akiwa ameshakauka pembeni yetu...,
Mara mlango ukafunguliwa....
Songa nayo….
"..we miche umefuata nini huku..?"
Alikuwa ni yule jibaba lake na michelle sura mbaya na kwa muda huu lilikuja limefura likionesha kuwa na hasira sana kwa alivyotufumania...,
"...yani umeniaga unaenda chooni.., sa chooni ndio hapa kwenye hili godoro enh..? Fala mkubwa we.."
Sikuwa naelewa chochote kwani nilikuwa kama mtu aliyepigwa ganzi.., nilishuhudia michelle sura mbaya akishikwa mishanga yake huku akivuta nguo zake nakuniacha pale chini..
Walivyoondoka tu na mimi nikainuka nakupanda juu ya kitanda huku nikimwacha jacky pale chini.
~ Asubuh yake ~
"...we jeff..? jeff amka huko, jeff..?"
Sauti kwa mbaali ilikuwa ikiniita na nilipozinduka tu macho yangu yakakutana uso kwa uso na helleiner tena akiwa pembeni yangu amekaa na analia kwa uchungu.
"jeff utaacha lini kunisaliti..? jeff.., unataka nikupendaje jeff..? Kwanini mikosi napata mimi tu jamani..?"
Akili yangu yakawaida ilikuwa imeshanirudi huku nikiamka pale kitandani nakumuwahi jacky wangu aliyekuwa amelala kapoteza fahamu..,
"...jacky..! jacky mpenz amka..."
Niliongea kwa ujasiri wa hali ya juu huku nikimpepea jacky nakumuacha helleiner akiendelea kulia pale kitandani kama vile simjui..
Nilimpepea mpaka akazinduka lakini bado jacky alikuwa hajielewi elewi..,
"jeff..? jeff mpenzi nakupenda sana.."
"hata mimi nakupenda jacky.., unaskia maumivu yeyote..?"
"hapana mpenzi..,ila hii mimba nadhani ndio inanipelekesha sana..."
"uwii..!! uwii..!? jeff..? jeff...?"
Helleiner alizidisha kulia baada ya kusikia kuwa jacky anamimba pia ananiita mi mpenz wake,sikulijari hilo zaidi yakuendelea kumbembeleza huku nikilishika shika tumbo lake nakumgeukia helleiner..,
"jacky.., huyu dada anaitwa helleiner na alikuwa mpenzi wangu.."
"amefuata nini hapa...?"
"tulia acha jazba.., yeye ndio aliokuja kunishtua kutoka usingizini.."
"helleiner..? Huyu hapa ni mke wangu mtarajiwa na ana mimba yangu hivi karibuni nitakuwa na mtoto wangu kwake.."
"jeeeeeeff...?"
"yeah.., ndio ana mimba yangu na tayari jina la mtoto nimeshaliandaa.."
Kabla sijamalizia kuongea nilishangaa napigwa bonge la kibao kutoka kwa helleiner huku jacky akiingilia kati akitaka kupigana naye..,
"jacky my love pliz.., mwache., mwacheee...!!"
Nikamgeuzia shavu kwa upande wa pili mithili ya filamu ya yesu..
"haya nipige na upande wa huku.., nipige..?"
Kweli helleiner alikuwa na hasira sana kwani alinyanyua mkono wake nakunipiga tena kibao kwa upande wa pili..
"umemaliza..? Nakuuliza wewe helleiner umemaliza..?"
"nirudishie hela zangu nilizokupa jana.."
"unasemaje..?"
Nilimchukuwa kinguvu mpaka nje huku nikimburuza chini chini nikisaidiana na jacky wangu..
"jeff..! jeff niacheni.., najuta kukupenda jeff..!"
"kajute na mama yako huko huko mpumbavu mkubwa we.."
Tulimburuza mpaka mapokezi kisha tukamwachia maagizo yule dada wa mapokezi,
"huyu usije ukamruhusu aje hapa tena, mdandiaji wa waume za watu huyu tena malaya kabisa.."
Helleiner aliendelea kulia pale huku akitoka nje ya ile guest kwa uchungu wote..."
"jeff utanikumbuka..?"
"watanikumbuka wangapi..? Sembuse wewe.."
Nilimjibu kwa dharau huku tukirudi chumbani kwetu mimi na jacky wangu, tulipofika tu chumbani sikutaka kupoteza muda nikaingia bafuni nikaoga fasta fasta na nilivyomaliza nikatinga pamba zangu fresh..,
"sasa jacky my love..?"
"..yap jeff dia.."
Naona nikuache kwani naelekea kwa madalali c unajua leo leo tutahama na haka kagodoro ketu kakuanzia maisha.."
"pouwa jeff wangu nakutakia mafanikio mema.."
Nilimpiga mabusu ya shavuni mpenzi wangu jacky huku nikimwaga nakuondokazangu, nilipofika mapokezi nikakumbuka kulipia hela ya siku hiyo kwani ilikuwa inaisha jana, ile najisachi mifukoni,
"My God...!!"
Sikuwa na hata shilingi na nilishindwa kujua ziko wapi zile hela zote, fasta fasta akili ikanituma nirudi chumbani nikaangalie fresh, nikarudi fasta nakuanza kusachi napo nikaambulia sh. Elfu 10 tu tena elfu 5 tano mbili, nilizidi kuchanganyikiwa huku akili ikinituma moja kwa moja aliyechukuwa hela zote labda ni michelle sura mbaya alivyoondoka usiku..
"nimekwisha jef mimi...!"
Nilijisemea kimoyo moyo huku mchozi wa huruma ukianza kunidondoka nisijue cha kufanya...
“uhhf..! uhhf..! uhhf.."
jacky mpenzi.."
nilikuwa kama mtu aliyechanganyikiwa kwa nilichokuwa nakiota kwani nilitoka hapo fasta fasta nakusachi pesa mifukoni mwa suruali yangu niliokuwa nimeitundika nyuma ya mlango,
"..yees, nimeziona"
nilijisemea kimoyomoyo huku nikimwacha jaky akinishangaa kwa ninachokifanya.
"jeff vipi mbona sikuelewi elewi..?"
"hapana jacky ngoja kwanza.."
nilimjibu nakuelekea mapokezi kuhakikisha kama kweli na godoro langu lipo au la..
"..kumbe na mi mjinga enh.."
nilijisemea peke yang huku nikijirudia zangu ndani nakujua kumbe vile vyote vilivyonitokea usiku eti mpaka na sex na michelle sura mbaya huku nikimwacha jacky wangu akigalagala chini.
Nilifika zangu chumbani nakujiandaa fasta tayari kwa kwenda kwa madalali kushughlikia inshu ya chumba..
~ NDANI YA GETTO JIPYA ~
Hatimaye tukafanikiwa kupata chumba maeneo ya palepale magomeni.
"..sasa hapa jeff tumebakiza vitu vichache tu.."
"yap baby wangu lakini inanibidi niende tena k/koo kumalizia vitu vilivyobakia.."
niliondoka zangu nakumwacha jacky akiendelea kupangapanga vitu pale ndani lakini nilipofika kituoni tu,
"jeff mpenzi whre to..?"
"am.. mhh.. mhh.. helleiner mambo..?"
"safi., huku unaenda wapi jamani tangu jana siku nzima nakutafuta kwenye simu hupatikani na hapa unaponiona nimetoka pale kwenu tulipokuja siku ile sikumkuta mtu.."
moyo wa huruma ulianza kunitawala huku aibu kubwa ikinishika nakuendelea kumwangalia heleiner akilalamika.,
"helleiner sory pale nilishahama kwa sasa.."
"kwa sasa nini? Kwanini hukuniambia jef kwanini? Umeanza usiri wako enh'"
"tuliza jazba mpenz nikwambie basi.."
"haya endelea.."
kidume mimi nilijikuta ujari nikiuweka pembeni huku nikimwambia kila kitu
"heleiner, ujue nakupenda tena sana mpenz wangu, uko tayari nikwambie kitu.?"
"yap jeff niambie.."
"pale, siyo kwetu halisi.."
"..kwanani sasa..?"
"pale ni kwa rafiki yangu tu ambaye wazaz wake wapo kenya.."
"jeff..! jeff..! sasa kwenu wapi..? Na kwanini uliamua kunidanganya jeff..?"
"..najua nimetenda kosa ila nahitaji kusamehewa ili nikwambie nakingine.."
"..nimekusamehe kwa moyo mmoja., haya embu niambie kingine ni nini jeff..?"
"..i have another girlfriend.."
"..which one jeff..? More than me..? Jeff are you seriaz for what your talking..?"
"yes i am.."
"..jeff..? your going to kill me., Ohh my God..! why me.! why me..!"
nilikuwa nimeshaharibu japo haikuwa na jinsi zaidi ya kumuweka wazi helleiner, angekuja kujua baadaye angeumia sana bora nilivyomwambia mapema.,
"jeff yuko wapi huyo mwanamke nimjue.?"
"nipo naishi naye pale twende.."
tayari nilikuwa na moyo wa chuma hivyo nikamchukuwa mkono helleiner mpaka getto nilipopanga,
"..jacky sorry., kuna mgeni nimempata amenirudisha aje akusalimie., helleiner karibu.."
"jeff inamaana na hiyo mimba ni yako.?"
"..si nakuuliza wewe jeff..? Hiyo mimba ni yako..?"
"am.. mhh.. mhh.. ni story ndefu nitakusimulia tu usijali.."
"story..? Story we Andy Wa Hadithi..? Jeff acha kunichefua pliz.. pliz.."
muda wote ambao helleiner alikuwa akilalamika jacky alikuwa kimya mara akaanza kuongea,
"..samahani dada mbona umekuja kwa ukali namna hvyo..?"
"..Sshhh..!! tena nyamaza.., unajua nimetoka wapi na jeff..? Unajua vitu vingapi nimefanya naye..?"
kidume mimi ushupavu na ujasiri nikaviweka kando huku nikibaki mithili ya mume bwege tena yule aliyemwimba bushoke..
Mzozo ulikuwa mkubwa sana mpaka nikahisi ngumi zinaweza kutokea kati ya helleiner na jacky kwani kila mmoja alijifanya yuko juu.
"..jeff hivi unajua umenisaliti mara ngapi nimekuacha sijafanya lolote.."
"..helleiner mbona hutaki kunielewa..? Mi kwa sasa nipo na huyu sihitaji mwanamke yeyote pliz.."
"nini jeff..? Umempa mimba mfanyakazi wetu michelle na tumembana akasema ni mimba yako na ulimpa siku ile ya beach tulivyoenda.."
kabla hajamalizia kuongea nilijihisi kama mkojo unanichuruzika ukiambatana na kijasho chembamba huku macho nikiyakaza haswa haswa..,
"..michelle..? Michelle gani huyo..? Kwanza mi simjui huyo mfanyakazi wenu.."
ilinibidi niue soo pale pale ili jacky asielewe chochote lakini kabla helleiner hajaendelea kuongea kitu tulishangaa jacky akigalagala pale chini mithili ya mtu anayeugua kifafa,
"jacky..? jacky my love..?"
ghafla akawa kimya, nikamgusa mapigo yake ya moyo yalikuwa yakienda kasi,
"..helleiner pliz tusaidiane tumuwaishe hospitali.."
"..usaidiane na nani..? Ulivyompa mimba ulinishirikisha..?"
niliumia sana lakini haikuwa na jinsi nikambeba peke yangu mpaka nje nikampakiza kwenye tax huku nikimwacha helleiner chumbani..,
nikaingia kwenye tax lakini kabla gari haijaondoka nilisahau simu yangu chumbani ikabidi niirudie ile nafika tu chumbani..,
"noo helleiner..!! pliz..!! pliz..!!”
"..usifanye hivyo helleiner pliz.. pliz.."
heleiner alikuwa amechukuwa kisu akitaka kujichoma nacho tumboni..
"..niache jeff nife sioni tena umuhimu wangu kuwa hapa duniani.."
niliona kama ananizingua nikachukuwa kile kisu na kukitupa kisha nikachukuwa simu yangu pamoja na yeye helleiner huku tukitoka nje, tuliingia kwenye tax na kuelekea hospitali pale magomeni..
~ NDANI YA HOSPITALI ~
"Vipi dokta mgonjwa wangu anaendeleaje..?"
"..wewe ndo muhusika mkuu..?"
"ndio dokta.."
"nifuate ofisini.."
hofu kubwa ilioambatana na kutetemeka mwili wote huku meno yakiumana, nilijikuta nikimfuata dokta ofisini kwake huku helleiner akinifuata taratibu kwa nyuma.
"unaitwa nani.."
"jeffrey au jeff.."
"upoje na huyu binti mgonjwa..?"
"ni mchumba wangu naishi naye.."
niliongea kwa kujiamini huku dokta akiendelea kuandika maelezo, alipomaliza..,
"bwana jeff..?"
"ndio dokta.."
"mchumba wako tulimpokea vizuri nakumpatia matibabu mpaka alipopata fahamu lakini kwa bahati mbaya.."
"unasemaje dokta..?"
"..kuwa mpole bwana jeff.."
"ok endelea.."
"..kwa bahati mbaya….

*** Unavyodhani Jack kafanyaje hapo..?? Na Jeff atafanyaje endapo Jacky ikatokea amekufa..?**** Na vipi kuhusu Helleiner atajiua tena au Itabuwaje kuhusu hatma yake na Jeff..?*** Na kuhusu mimba ya Michelle sura mbaya je ni kweli anamimba..? Inamaana kumbe vituko vyote Michelle sura mbaya anavyomfanyia Jeff kwa roho ya ukatili kumbe anamimba ya Jeff..? Nini hatma ya hiyo mimba..?**** Simulizi inazidi kuwa nzuri na ya kuvutia kila siku katika uwanja huu wa simulizi. Endelea ku LIKE ku SHARE na hata ku COMMENT ili iwafikie wengi zaid nao waburudike.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top