Unknown Unknown Author
Title: UPDATES:VURUGU MTWARA MASASI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
OFISI ZA ELIMU MASASI ZACHOMWA MOTO MAGARI YA HALMASHAURI NA WAFANYAKAZI WA HALMASHAURI YACHOMWA MOTO
OFISI ZA ELIMU MASASI ZACHOMWA MOTO MAGARI YA HALMASHAURI NA WAFANYAKAZI WA HALMASHAURI YACHOMWA MOTO
GENERATOR YA MANISPAA YACHOMWA MOTOAMBULANCE YA HALMASHAURI YACHOMWA MOTO
Magari 18,pikipiki 7 Generator yateketezwa kwa moto.vyote vikiwa ni mali za halmashauri ya masasi na baadhi ni vya watumishi wa halmashauri hiyo. Gereza la Masasi liko hatarini kupoteza wafungwa wote kwa kuvunjwa na waandamanaji hao.

About Author

Advertisement

Top