RAIS DKT SAMIA SULUHU AFUTURISHA VIONGOZI WA DINI NA WAZEE IKULU DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Machi, 2025.
Viongozi wa dini, wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye Iftar iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es Salaam 05 Machi, 2025.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post