Simba wamaliza mechi ya Dar kibabe

Klabu ya Simba imecheza mchezo wake wa mwisho katika uwanja wa nyumbani mchezo uliomalizika kwa Simba kushinda mabao 2-0.

Mabao ya Simba yamewekwa kimiani na Pape Sakho na Peter Banda 

Mchezaji Yusuph Muhilu akijaribu kuwatoka wachezaji wa Mtibwa picha na Rukiah Mohammed

Akizungumza baada ya mchezo huo kaimu kocha mkuu wa Simba Seleman Matola amesema ushindi huu ni muhimu kwani mechi zote wanazokutana na Mtibwa mara nyingi sio nyepesi.

"Tunafurahi kushinda mechi hii kwani mara zote Simba wanapokutana mchezo huwa ni mgumu sana kutokana na kasumba ya timu hizi" alisema Matola


Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post