Ahmed Ally : Tunashusha Wachezaji wa Viwango vya Juu

Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ally amesema Utumishi uliotukuka wa Pascal Wawa Umefikia kikomo na wao kama taasisi wanaingia chimbo kutafuta mbadala wake. 

Ahmed ameyasema hayo mara baada ya Kumalizika kwa mchezo wa simba dhidi ya Mtibwa Sugar ambao simba imeibuka mshindi kwa goli 2-0.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post