RATIBA KAMILI YA KOMBE LA SHIRIKISHO ROUNDI YA SITA HII HAPA

Kombe la Shirikisho (ASFC)
Timu zilizofanikiwa kuingia Round ya Sita ya Kombe la Shirikisho (ASFC) zitaendelea kutimua vumbi kuanzia February 24, 2017 kwa Azam Fc kuikaribisha Mtibwa, Huku Stand United ikiwa ugenini kumenyana na Kagera, Ndanda wana Kuchele wao watakuwa na kibarua kizito Ndani ya Songea katika Uwanja wa Majinaji kumenyana na Might Elephant.

Hii hapa Ratiba Kamili ya Michuano hiyo.

ratiba
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post