U -HEARD APRIL 26, KITALE ABAMBWA KWA SANGOMA (MGANGA WAKIENYEJI)

April 26, 2017 kupitia U Heard ya Soudy Brown, nakukutanisha na U heard inayomhusu Kitale a.k.a Mkude Simba ambaye ni mwigizaji/mchekeshaji Tanzania.
Kitale a.k.a Mkude Simba
Soudy Brown amepiga na stori na moja wa shuhuda ambaye anadai kuwa amemuona Kitale eneo Mabibo kwa kwa jamaa ambaye anadaiwa kuwa ni mgannga na Kitale amekuwa akienda pale mara kwa mara lakini usiku wa jana hawakuwa na maelewano mazuri baada ya jamaa kusikika akidai fedha yake.


Kusikiliza Full Stori unaweza kubonyeza play hapa chini


++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post