SABABU ZA KUKAMATWA KWA WAZIRI MKUU MSTAAFU BADO HAZIJAWEKWA WAZI

Mh. Edward Lowassa
Waziri Mkuu mstaafu na aliyekuwa mgombea urais kwa tikiti ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa na mbunge wa Geita (M) Viti maalum Upendo Peneza wamekamatwa na jeshi la Polisi Geita mjini.
Sababu za kukamatwa kwa Mh Lowassa na Mjumbe wa Kamati kuu ya CHADEMA bado hazijawekwa bayana. 
Lowassa alikuwa anaenda kwenye kampeni za uchaguzi Kata ya Nkome.

Endelea kuwa nasi kupata taarifa zaidi kuhusu tukio hilo pindi zitakapopatikana.
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM

Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post