Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akikata utepe kuashiria kufungua rasmi Kiwanda cha kutengeneza mifuko ya Sandarusi cha Fresho Investment Compaany limited cha Mkoani Shinyanga.
Wengine katika picha ni mkuu wa mkoa wa Shinyanga Zainabu Taleck wakwanza kulia mwenye kilemba, mbunge wa Shinyanga mjini Stephen Masele wa kwanza kushoto, pamoja na mmiliki wa kiwanda hicho Fred Shoo watano kutoka kulia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akivuta utepe kwenye jiwe la ufunguzi wa kiwanda hicho cha kutengeneza mifuko ya Sandarusi cha Fresho Investment Compaany limited cha Mkoani Shinyanga. Kulia ni mmiliki wa Kiwanda hicho Fred Shoo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiangalia moja ya hatua ya utengenezaaji wa mifuko ya Sandarusi katika kiwanda hicho cha Fresho mkoani Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiangalia na kukagua utendaji kazi wa maabara ya kiwanda hicho cha kutengeneza mifuko ya Sandarausi mkoani Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiwa amechuchumaa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali pamoja na wafanyakazi wa Kiwanda hicho cha Kutengeneza mifuko ya Sandarusi mkoani Shinyanga.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akimpongeza Salum Hamis
Mbuzi mmiliki wa Kiwanda cha kutengeneza Vinywaji cha Jambo food product mara
bada ya kukizindua mkoani Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe magufuli akisikiliza maelezo kutoka kwa mmiliki wa kiwanda cha
kutengeneza vinywaji cha Jambo food product
Salum Hamis Mbuzi mara bada ya kukizindua mkoani Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe magufuli akiwagawia vinywaji kikundi cha ngoma za asili cha mkoani Shinyanga
mara baada ya kuzindua kiwanda hicho cha Vinywaji mkoani Shinyanga.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiongea na wakazi wa Igunga mkaoni Tabora.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe magufuli akiwasalimia kwa kuwapungia mkono wakazi wa Igunga mkaoni Tabora.
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.