Unknown Unknown Author
Title: MZEE MAJUTO ATOKWA POVU JUU YA WALIOMZUSHIA KIFO, AMPONDA GIGY MONEY
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Bila kufahamika chanzo ni nini taarifa zisizo rasmi zimetrend katika mitandao ya kijamii zikidai kuwa mkongwe wa filamu hapa nchini King...
King Majuto
Bila kufahamika chanzo ni nini taarifa zisizo rasmi zimetrend katika mitandao ya kijamii zikidai kuwa mkongwe wa filamu hapa nchini King Majuto amefariki dunia kwa ajali ya gari.

Soudy Brown akaona sio kesi, akaamua kumvutia waya Mzee Majuto na kujua undani wa taarifa hizo. King Majuto amefunguka kuwa sio mara ya kwanza kwa yeye kuzushiwa kifo, ila tu anashangaa ni kwanini hali hiyo inajirudia mara kwa mara kwa upande wake.

Play hii video hapa chini kumsikiliza Soudy Brown akipiga story na Mzee Majuto kuhusiana na tetesi hizo.



++++++++++++++++++++++++++++++++++++++

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top