MANENO 15 MAJIBU YA YOUNG DEE KUHUSU KURUDIA MATUMIZI YA MADAWA YA KULEVYA

Baada ya mengi kuongelewa na kuandikwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Young Dee kurudi kwenye maswala ya matumizi ya madawa ya kulevya, Rapper Young Dee ameamua kufunguka na kusema kwamba “Time Will Tell”.
Young Dee
Kupitia kurasa yake ya Instagram Young Dee amefunguka kuizungumzia ishu hiyo ambayo chachu yake ilianza kuonekana kwa Max ambaye ni meneja wa Young Dee kwa kudai kuwa Dee amerudi kwenye maswala ya madawa, Sasa leo hii January 4, 2017. Young Dee aliandika ujumbe huu kwa mashabiki zake kwa kusema kwamba “Time will Tell… Mi sina tatizo na mtu… Tuombeane kheri tu… Siwezi shindana na maneno,”

Young DeeKama unavyojua mashabiki wa muziki wa Bongo fleva pamoja na wa Tanzania kwa ujumla wamekuwa wakihuzunishwa na matatizo ambayo yamewakuta mastaa wao kama Nando pamoja na rapper ChidBenz, hakuna anayejua nini kinaendelea mbele yao ila nasisi tutaendelea kuutumia msemo wa Young Dee kwamba “Time Will Tell”
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post