Mapema January 31, 2017 imekuwa yenye taharuki baada ya Video inayomuonyesha Bint mmoja akifanya Ngono kusambaa katika Mitandao ya Kijamii.

Wadukuzi wa Mambo wanasema eti Msichana huyo anayeonekana kwenye video hiyo ni Elizabeth Micheal (LULU). Kufuatia halihiyo imepelekea Mlimbwende huyo na Muigizaji wa Bongo Movie Hapa Nchini kuandika Ujumbe ambao ametoa ufafanuzi wa kukanusha Taarifa hizo..

Lulu amewaambiwa wasimpe kiki za lazima kwani huyo Msichana hafanani kabisa na yeye hivyo inabidi wamuombe Radhi.
Katika Kuthibitisha Msichana huyo sio yeye aliweza kupost Post nyingine ambayo inamuonyesha msichana huyo kwamba hana Kidoti pia Pua yake ni kubwa kuliko ya Lulu halisi. na akaweza kumpa jina LULU RAPA.

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV
Tags
HABARI ZA WASANII