HARMONIZE PHOTOCOPY AIBUKA, CHEKI VIDEO HII HAPA

Kijana anayedai kufanana kimuonekano na msanii wa Bongo fleva Harmonize kutoka WCB, ameibuka na kushusha lawama akidai kuwa msanii huyo alimnyanyapaa pale alipotaka kuzungumza naye na kujitambulisha kwake.
Harmo Rapa na Harmonize
Harmo Rapa na Harmonize
Kijana huyo ambaye anajulikana kwa jina la Harmo Rapa, amejitambulisha mbele ya kamera ya eNewz ya EATV kuwa Rapa na ana ndoto za kufanya makubwa katika muziki lakini anahitaji mtu wa kumshika mkono mkono.

Harmo Rapa amesema anaamini anafanana na Harmonize na kwamba amekuwa akifananishwa sana na msanii huyo.

Msikilize mwenye hapa akifunguka kupitia eNewz


++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post