Kufuatia Taarifa ya uongo iliyochapishwa na Gazeti la MwanaHALISI na kutakiwa kuomba radhi na Serikali, Leo hii Gazeti hilo limetekeleza agizo hilo na kuandika Taarifa hii hapa ya kumuomba radhi Rais Magufuli kwa kuandika habari ya uongo.
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV
Tags
HABARI ZA KITAIFA