Mshindi wa Tuzo ya MTV Africa Music Awards Best Female kwa mwaka 2016 Yemi Alade kuitoka Nigeria ameachia wimbo mpya ambao unaitwa "Sugar & Spice".
Kama ilivyo kawaida nimekuletea official video ya ngoma hiyo iliuweze kuitazama. Enjoy
Fahari Ya Kusini
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.