BRAND NEW AUDIO MUSIC | MORE AND MOER BY AY FT NYASHINSKI | DOWNLOAD/LISTEN

Legendary wa Muziki wa Bongo Fleva, AY baada ya Zigo Remix kufanya vizuri na kumpatia mafanikio kibao ikiwemo Tuzo mbali mbali, ameamua kudropisha goma jingine leo ambalo kamshirikisha Mkenya Nyashinski.

Ngoma inaitwa “More and Moer” Producer ni Hermy B akishirikiana na Drey Beatz Studioz


Enjoy
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post