BRAND NEW AUDIO MUSIC | KELELE ZA CHURA BY CHEGE FT NANDY | DOWNLOAD/LISTEN

Chege Chigunda na Nandy
Kutoka kiumeni huyu hapa mtoto wa Mama Saidi Chege Chigunda akiwa kamtupia African Princess mwanadada Nandy kwenye hii mpya ambayo imepewa jina la "Kelele za Chura".

Jobanjo ndio producer halali wa ngoma hii. Enjoy

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post