NIJUZE NIJUZE Author
Title: ZITTO KABWE AANDIKA UJUMBE HUU BAADA YA KUPATA MTOTO
Author: NIJUZE
Rating 5 of 5 Des:
July 14, 2016 Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe aliingia kwenye headlines za kuuacha rasmi ukapera baada ya kufunga ndoa na mpenzi wa...
Zitto Kabwe
July 14, 2016 Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe aliingia kwenye headlines za kuuacha rasmi ukapera baada ya kufunga ndoa na mpenzi wake. 

Good news leo December 27 2016 Zitto Kabwe na mkewe wamepata mtoto wa kike ambaye wamempa jina la Josina – Umm Kulthum.

Zitto Kabwe amezitoa taarifa hizo kwenye mitandao ya kijamii na amesema kuwa wamempa jina hilo kwa heshima ya mwanamama mpigania uhuru wa Kusini mwa Afrika, Josina Muthembi Machel wa FRELIMO, aidha amesema Umm Kulthum kwa heshima ya mama yake mdogo na pia jina la binti wa Mtume Muhammad (SAW).

_________________________________________________________________________________
  • DARASSA LIVE SHOW MOSHI, WATU NYOMI YA KUFA MTU

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top