Unknown Unknown Author
Title: ALIKIBA SHINDWA KUFANYA SHOW DODOMA, PROMOTA ANENA HAYA (VIDEO)
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Disemba 25, 2016 inaweza ikawa siku mbaya kwa Mkali wa Bongo Fleva kama watu wengi wanapenda kumwita King Kiba (alikiba) , hii imekuja ba...
Disemba 25, 2016 inaweza ikawa siku mbaya kwa Mkali wa Bongo Fleva kama watu wengi wanapenda kumwita King Kiba (alikiba), hii imekuja baada ya Msanii huyo kushindwa kuperfom katika Show iliyoandaliwa Makao makuu ya Nchi hapo nikimaanisha DODOMA.
King Kiba (alikiba)

Mashabiki hao wa King waliojitokeza mapema na Kukata Tiketi zao kwa Dau lililowekwa huku wakiwa na shauku ya kumuona kipenzi chao, Ndoto hiyo iliyeyuka baada ya Msanii huyo Kuchelewa kufika eneo la tukio hadi kupelekea mashabiki wengine kususia show hiyo na Kuondoka Ukumbini.

Kwa mujibu wa Meneja au Promota wa Show hiyo amesema sababu ya Alikiba kushindwa kufika kwa wakati ni mambo ya Usafiri. Hayo na mengi zaidi Bofya play kwenye Video hapo Chini kumsikiliza na kuona jinsi Mashabiki walivyo fanya.

_________________________________________________________________________________
  • DARASSA LIVE SHOW MOSHI, WATU NYOMI YA KUFA MTU

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top