Unknown Unknown Author
Title: VIDEOS: MZIMU WA MENDEZ WAMKUTA TREY SONGZ NAKUMZIMIA MIC KAMA ALIKIBA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mzimu wa Mendez wa kuzima Mic za watu umedondokea pande za Detroit na kumsababishia Trey Songz kufanya majanga stejini. Trey Songz yam...
Mzimu wa Mendez wa kuzima Mic za watu umedondokea pande za Detroit na kumsababishia Trey Songz kufanya majanga stejini.
Trey Songz
Trey Songz yamemkuta mambo siyo stejini huko Detroit kwenye show ya Channel 955 & FM 98 WJLB’s Big Show at the Joe, baada ya kuzidisha muda wa kuperforme jukwaani na kusababisha kuzimiwa Mic, Sasa mambo yalianza wakati anajigamba pindi alipoambiwa kuwa atazimiwa Mic yake, kama akiendela kuzidisha muda, na mwisho wa siku Mic ikazimwa vurugu mechi ikaanza.

bigshow
“Eti wanasema watazima Mic yangu! kisa nimetumia muda mwingi, nachotaka kuwafahimisha detroit, wa hapa mbele, mwisho huko, kushoto, kulia..kama ikitokea wakafanya,..nawapenda sana bila kujali chochote..kikubwa nachotaka kufanya ni kuwapa show bora….basi kama wakikata lazima niwaletee uchizi..Zimeni sasa! Zimeni Mic yenu..”Alisema Trey Songz.

Watu waliokuwepo kwenye tamasha hilo wamesema kwamba Trey Songz ameshikiliwa na polisi baada ya kufanya uharibifu huo, ambao umesababisha jeraha kwa shabiki baada ya kuwa anarusha vitu kwa mashabiki.
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++

KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top