VIDEO:: MADEE APASUA JIPU KUHUSU MASWALI YA MASHABIKI KUHUSU TIP TOP CONECTION

Tiptop Connection ni moja kati ya lebo za muziki ambazo ziliwahi kufanya poa sana kwenye game ya music hapa kibongo bongo, lakini ni ukweli usiofichika kwamba lebo hiyo kwasasa imedrop kiufanyaji wa kazi zake kulingana na ilivyokuwa zamani.
Dogo Njanja na Madee
Ni maswali kemkem ambayo yalikuwa yakipelekwa kwenye uongozi wa lebo hiyo kutoka kwa mashabiki kuhusiana na ujio wa kazi zao mpya, lakini kwa sasa taarifa zilizopo ni kwamba maswali hayo yamepungua kwa kiasi kikubwa sana.

akiongea na Lindiyetu.com Madee kiongozi wa lebo hiyo ambaye anadai kuwa brands za mavazi za lebo hiyo zimekuwa sababu ya kupunguza kwa kiasi kikubwa sana maswali kutoka kwa mashabiki hao kuhusiana na kazi mpya kutoka.

Hayo na Mengi zaid amefunguka Madee kuhusu Tiptop Connection, Play hii video hapa chini kumsikiliza akitoa ufafanuzi zaidi.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post