MSANII NANDY ATAFUTA BWANA MTANDAONI

NandyMwanadada anayekuja kwa kasi kinoma katika game ya music kutoka katika mikono ya Tanzania House of Talent (THT) Nandy ameacha gumzo katika mitandao ya kijamii baada ya kuomba msaada kwa mashabiki.

Ni kupitia page yake ya Instagram, Nandy aliwaomba mashabiki zake wamchagulie boyfriend, yaani mtu ambaye wanaona itakuwa poa sana wakimuona akiwa naye katika mahusiano ya kimapenzi.
Nandy
Hata wewe pia una haki ya kumchagulia mrembo huyo boyfriend, unaweza kuacha maoni yako hapa chini kwenye uwanja wa comments kisha Nandy atapita nayo kama kawiz.
*********

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post