LIST YA MASTAA 10 WANAO ENDESHA MAGARI MAKALI MWAKA 2016

Team ya XXL ya Clouds FM imetoa list ya mastaa 10 wa Bongo ambao wameongoza kwa mwaka huu wa 2016 kwa kumiliki magari yenye thamani kuliko wote.
Lindiyetu.com ina kusogezea hapa karibu yako ili uweze kuisanukia list hiyo kuanzia namba 1 hadi namba 10 ya mastaa ambao wametisha kwa ku-push mikoko mikali.

1. Masoud Kipanya – Hummer H3


2. Diamond Platnumz & Masanja Mkandamizaji - 
BMW X6
BMW X6
3. Quick Rocker – Range Rover Sport
Range Rover Sport

4. Wema Sepetu – Range Rover Evoque
Range Rover Evoque

5. Gadner G Habash & Shetta – Discovery 3
Discovery 3

6. Alikiba – BMW X5
BMW X5
7. Madee – Prado 2008
Prado 2008

8. Nay wa Mitego – Prado 2005
Prado 2005

9. Idris Sultan – BMW M3
BMW M3
10. Professor Jay – Toyota Land Cruiser
Toyota Land Cruiser

Play hii video hapa chini ilikumsikiliza B Dozen akitoa list hiyo kwa ufanisi na ufafanuzi zaidi.

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post