Takriban mwezi umepita sasa tangu zianze kuvuma tetesi zinazomuhusisha rapper wa kike Tanzania Chemical zikidai kuwa mrembo huyo bado hajamjua mwanaume {Bikra}.
Unaweza Ku-SUBSCRIBE kwenye Youtube Chanel yetu ili usipitwe na chochote, BOFYA HAPA
Mengi yameongelewa, comments zimetolewa kuhusiana na jambo hilo ila leo Lindiyetu.com imepiga story na mrembo huyo kwenye exclusive interview na amefunguka mambo kibao moja wapo likiwa ni jambo hilo.
Uthibitisho wa ukweli kuhusiana na jambo hilo umetoka kwa Chemical mwenyewe na kufunguka mengi ikiwemo sifa za mwanaume ambaye anatarajia kuja kumtunuku bikra hiyo.
“Kwanza aniheshimu, nikiwa nae kwanza nimjue kwa muda mrefu, asiniigizie, anipende kama nilivyo, aniheshimu na anipende kweli.” hizo nibaadhi tu ya sifa ambazo Chemical amefunguka kuwa awenazo mwanaume ambaye atafikiria kumtunuku bikra yake.
Sasa utamu wote nimekuwekea hapa chini kwenye video hii. Unaweza kuplay ili kumsikiliza Chemical akifunguka mwanzo hadi mwisho.
Uthibitisho wa ukweli kuhusiana na jambo hilo umetoka kwa Chemical mwenyewe na kufunguka mengi ikiwemo sifa za mwanaume ambaye anatarajia kuja kumtunuku bikra hiyo.
“Kwanza aniheshimu, nikiwa nae kwanza nimjue kwa muda mrefu, asiniigizie, anipende kama nilivyo, aniheshimu na anipende kweli.” hizo nibaadhi tu ya sifa ambazo Chemical amefunguka kuwa awenazo mwanaume ambaye atafikiria kumtunuku bikra yake.
Sasa utamu wote nimekuwekea hapa chini kwenye video hii. Unaweza kuplay ili kumsikiliza Chemical akifunguka mwanzo hadi mwisho.
Unaweza Ku-SUBSCRIBE kwenye Youtube Chanel yetu ili usipitwe na chochote, BOFYA HAPA
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.