HII HAPA ZAWADI YA CHRISTMAS KUTOKA KWA VANESSA MDEE (+AUDIO)

Vanessa Mdee - Heri ya Christmas
Katika msimu huu wa sikukuu za Christmas na Mwaka Mpya mwanadada Vee Money Vanessa Mdee ameamua kuwapa mashabiki zake zawadi kwa msimu huu wa sikukuu.

Ni zawadi ya wimbo ambao ameuita Heri ya Christmas. Unaweza kuusikiliza na hata kuu download hapa chini. Enjoy

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post