EATV YAMWEKA WAZI HOST WA TUZO ZA EATV AWARD 2016

Mtangazaji mahiri wa vipindi vya burudani nchini, Salama Jabir ametangazwa na EATV kuwa host wa tuzo za EATV Award 2016 ambazo zitafanyika Disemba 10 katika ukumbi wa Mlimani City.
Salama Jabir
Salama Jabir

Jumla ya tuzo 10 zinatarajiwa kukabidhiwa kwa wasanii wa muziki na filamu siku hiyo.

Kupitia twitter ya EATV, imeandika;

Tunamtambulisha kwako HOST EATV AWARDS 2016, mkali wa hizi kazi.Salama Jabir
Moja kati kipengele ambacho kitakuwa na msisimko siku hiyo ni kipengele cha msanii bora wakiume ambacho Alikiba, Mwana FA, G-Nako, Shetta na Ben Pol wanapigana vikumbo kuondoka na tuzo hiyo.
*******

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post