BRAND NEW VIDEO MUSIC | UP TO SOMETHING BY IYANYA T DON JAZZY & DR. SID | WATCH HERE

Iyanya ft. Don Jazzy & Dr Sid - Up To SomethingMavin Records imeamua kukusogezea Video ya wimbo wa vichwa vitatu Iyanya, Don Jazzy & Dr Sid ambavyo vimekutana kwenye hii ngoma walioipa jina "Up to Something" inayomilikiwa na mtu mzima Iyanya.

Ni jukumuletu Lindiyetu.com kukusogezea kila unachohitaji kwenye kila nyanja ya Burudani, Siasa na Michezo nakupa nafasi ya kuitazama hapa.

Pia usisahau Ku - Subscribe Channel yetu ya YouTube kwa Kubofya Hapa

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post