BRAND NEW VIDEO MUSIC | NDELE BY SUMA MNAZALETI FT BARAKAH DA PRINCE | WATCH HERE
byUnknown-
0
Baada ya Kimya kirefu msanii Suma Mnazaleti amekuja na Ujio huu mpya kwa kutoa Single aliyoipa jina "NDELE" akimshirikisha Barakah Da Prince. Video ya wimbo huo imeongozwa na Kenny Ukiyz. Enjoy nayo hapa.
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...