BRAND NEW VIDEO MUSIC | JUU BY VANESSA MDEE & JUX | WATCH HERE

Vanessa Mdee, Jux - Juu
Baada ya kudondosha bonge la show kwenye After Skul Bash, Vanessa Mdee na mpenzi wake Jux wameamua kuiachia video ya wimbo wao wa Juu.

Kichupa flani hivi kikali ambacho utapitwa na mengi kama hautakitupia macho. 


Play hapa chini kukitazama.


TAZAMA HAPA JINSI RICH MAVOKO ALIVYOKINUKISHA KWENYE AFTER SKUL BASH

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post