BRAND NEW VIDEO MUSIC | AGOGO BY BRACKET (@vast_bracket @smash_bracket) FT SOLID STAR (@solidstarisoko) | WATCH HERE
byUnknown-
0
Kundi lijulikanalo kama BRACKET linaloundwa na @vast_bracket @smash_bracket kutoka Nigeria limeachia video ya wimbo wao Mpya "AGOGO" wakimshirikisha SOLIDSTAR. Wimbo huo umetengenezwa na Producer kukbeatz na kufanyiwa mastering na Selebobo.
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...