BRAND NEW AUDIO MUSIC | ONE DAY BY NANDY | DOWNLOAD/LISTEN

Mmoja kati ya wadada wanaofanya vizuri sana kwasasa katika game ya music kibongo, Sauti yake huenda ikawa ni moja ya sababu ambayo imemfanya afike hapa alipofika sasa hivi.
Nandy - One Day
Anaitwa Nandy, amehit na ngoma kama “Nagusa Gusa” ambayo remix ya ngoma hiyo amemtupia mtu mzima Mr Blue humo ndani. Lakini leo hii ametuletea hii nyingine.

Inaitwa "One Day", una kila sababu ya kuenjoy nayo.
 ***********

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post