XXL YA CLOUDS FM YAMTUMBUA OMMY DIMPOZ KUHUSU UNUNUAJI WA VIEWERS YOUTUBE. SIKILIZA HAPA

Baada ya Juzi Omary Faraji Nyembo Ommy Dimpoz Kuzungumzia ishu ya kukunua Viewers kwenye mtandao wa YouTube.
Ommy Dimpoz
Leo hii XXL ikaona sio kesi kupiga story mbili tatu na mwakilishi wa mtandao wa YouTube Afrika Mashariki Ndg Thomas mahondo kutoka NGOMA ili aweze kufafanua Jambo hilo kama linawezekana au La na je faida na Hasara yake ni nini.

Sitaki niongeze wala kupungaze kitu Hebu msikilize mwenyewe akifunguka kuhusu ununuaji wa Viewers Mtandaoni kama Ilivyodaiwa na Ommy Dimpoz.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post