BRAND NEW VIDEO MUSIC | FEEL GOOD BY NAVY KENZO FT WILDAD | WATCH HERE & DOWNLOAD

Navy Kenzo - Feel Good
Studio ya The Industry inakuletea kwako Video Mpya ya wimbo wa Kundi la Navy Kenzo Wimbo huo umepewa Jina "Feel Good" wamemshirikisha Wildad.

Video imetayarishwa na Justin Campos na imeshutiwa nchini Afrika Kusini.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post