Ukaribu wa mastaa Wema Sepetu na Diamond Platnumz unazidi kuzichukua Headlines kila siku.
Post ya pongezi ya Wema Sepetu kwenda kwa Diamond Platnumz
Mastaa hawa wamekuwa wakiweka post ambazo zimekuwa zikiongeza maswali kwa mashabiki ambao wanahoji sababu za wao kufanya hivyo wakati waliwahi kuwa kwenye ugomvi baada ya kuachana.
Leo November 7, 2016 Mrembo Wema Sepetu ameweka post ya kumpongeza Diamond Platnumz baada ya kushinda tuzo tatu za AFRIMA2016 zilizotolewa jijini Lagos, Nigeria usiku wa kuamkia leo.
Leo November 7, 2016 Mrembo Wema Sepetu ameweka post ya kumpongeza Diamond Platnumz baada ya kushinda tuzo tatu za AFRIMA2016 zilizotolewa jijini Lagos, Nigeria usiku wa kuamkia leo.
Katika post hiyo Wema ameandika "Makofi matatu kwa Tuzo tatu... "Tanzania's Pride..." Sema picha hii Kali saaaaaaanaaaaa... Utasema sio wa Tandale... 😂😂 (Sorry Bro)... Congrats once again...!!"
Post ya pongezi ya Wema Sepetu kwenda kwa Diamond Platnumz
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.