Leo Wamarekani wameanza kupiga kura kumchagua rais wa 45 atakayemrithi Rais Barack Obama mwakani. Wagombea wawili wakuu ni Donald Trump wa Republican na Hillary Clinton wa Democratic.
Hii ni Live Coverage ya Matokeo yalivyo Hivi Sasa.
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...