TAZAMA HAPA LIVE MAZISHI YA ALIYEKUWA SPIKA WA BUNGE LA TISA, SAMWELI SITTA, LIVE FROM URAMBO TABORA
byUnknown-
0
URAMBO, TABORA: Leo mwili wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Tisa, Samwel John Sitta unapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele katika tukio la mazishi lililo hudhuriwa na viongozi mbalimbali.
Fuatana nasi kupata yanayojiri mubashara kutoka eneo la tukio.
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...