TAARIFA MPYA KUTOKA KWA UONGOZI WA SIMBA SC

Haji Manara
Klabu ya Simba SC kupitia kwa afisa habari wake Haji Manara, wamemetoa taarifa kwa wanachama wake kuwajulisha kuhusu mkutano mkuu wa dharura kwa ajili ya kurekebisha katiba yao utakaofanyika December 11, 2016 bwalo la maafisa wa Polisi Oysterbay.

Hii ndo taarifa ambayo ametolewa na klabu ya Simba SC
Barua

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post