SIKILIZA NA TAZAMA KIONJO CHA WIMBO MPYA WA DIAMOND PLATNUMZ (VIDEO)

Diamond Platnumz
Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ambaye Hivi karibuni ameweza kushinda Tuzo 3 za AFRIMA mwenye Hit Singer ya "SALOME" ameweza kutuonjesha kipande cha ujio wake Mpya.

Audio hii inaweza kuwaimevuja kwani yeye mwenyewe hajaweza kuipa promo kwenye akaunti yake yoyote mtandaoni ambapo si jambo lakawaida kwake.


Moja ya Mistari inayopatikana kwenye wimbo huo unasema 
"Tatizo sielewi nikipi nilichowakosea walimwengu, Mbona nimejawa na dhiki, Nyama mnakula nyie mimi ni Dengu,Tena kinachoniadhibu mnayosema baya mazuri hamuyaoni, Wengine rafiki wa karibuMioyoni mnaroho mbaya mnanichekea usoni"

Hebu Isikilize hapa.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post