Headlines za leo November 29 2016 Bongoflevani zinachukuliwa na wakali wawili Producer MrTee Touch ambaye anahusika kutengeza midundo ya Rapper Nay wa Mitego wameingia kwenye bifu, ripoti kutoka kwenye Uhead ya Clouds zinadai kuwa wakali hao wanagombea baadhi ya beat ikiwemo beat ya mdundo wa "Pale Kati"
‘Kitu nilichoongea mimi ni kuwa anatumia beat zangu bila kuniambia kwa mfano beat ya Pale Kati ni haki yangu niliandaa mwenyewe yeye akaja akaichukua akaitoa bila kuniambia, kuanzia sasa hivi Nay wa Mitego haruhusiwi kutumia beat zangu’ Amesema Mr Tee Touch
Je unataka kujua jibu la Nay wa Mitego? Bofya Play hapo Chini.
Je unataka kujua jibu la Nay wa Mitego? Bofya Play hapo Chini.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.