OFFICIAL VIDEO MUSIC | GOOD LOVE BY DJ MAPHORISA x WIZKID | WATCH HERE & DOWNLOAD
byUnknown-
0
Baada ya Kutesa sana na "Soweto Baby" Dj Maphorisa na Wizkid wameungana tena kwenye wimbo wa pamoja, "Good Love". Wimbo huo Umetayarishwa na Nana Rouges huku video ikiongozwa na Sesan Film Factory.
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...