ALIKIBA AIKOSA TUZO MTVEMA 2016, HII HAPA LIST KAMILI YA WASHINDI WA TUZO HIZO

MTVEMA 2016
Usiku wa kuamkia November 7, 2016 umekuwa wenye huzuni tena kwa Watanzania baada ya mwakilishi pekee katika tuzo za MTVEMA msanii Alikiba a.k.a King Kiba kuweza kugaragazwa tena na Msanii kutoka Nigeria Wizkid katika kipingere cha Best African Act.

Tuzo hizo zimetolewa mjini Rotterdam New York, 
Hii ni Orodha kamili ya washindi.







Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post